Kocha Mkuu wa zamani wa Yanga na Kaizer Chiefs, Nasreddine Nabi ameibukia nchini Morocco ambako amepwa jukumu la kuifundisha Wydad AC ya huko.
Kocha Mkuu wa zamani wa Yanga na Kaizer Chiefs, Nasreddine Nabi ameibukia nchini Morocco ambako amepwa jukumu la kuifundisha Wydad AC ya huko.
Klabu hiyo ya jijini Casablanca, imemtambulisha rasmi Nabi, jana Alhamisi Oktoba 22. 2026 ikimpa mkataba ambao utafikia tamati mwishoni mwa msimu msimu huu.
"Wydad inatangaza kuteuliwa kwa Mtunisia Nasreddine Nabi kama Kocha wa timu ya wakubwa hadi mwishoni mwa msimu.
"Uteuzi huu unaashiria lengo la klabu kunufaika na uzoefu wa Nabi na uimara wake wa mazoezi kuiongoza timu ya kwanza katika awamu ijayo na kazi ya kuendeleza ufanisi na kukuza ushindani katika mataji tofauti.
"Wydad inamkaribisha Kocha Nasreddine Nabi na inamuombea mafanikio katika majukumu na mchango wake katika kutimiza malengo yaliyowekwa," imefafanua taarifa ya Wydad.
Nabi ameingia Wydad akiwa na uzoefu mkubwa wa soka na mazingira ya Morocco na Afrika kiujumla.
Kabla ya kujiunga na Wydad, amewahi kuzifundisha AS FAR Rabat na Raja Casablanca za nchini humo kwa nyakati tofauti.
Nje ya Morocco, Nabi amewahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Kaizer Chiefs, Ismaily, Al Merreikh na Al Ahly Tripoli.
| # | Наименование новости | Тональность | Информативность | Дата публикации |
|---|---|---|---|---|
| 1 | Refa Dahane akabidhiwa Mamelodi, USM Alger | 0 | 8.26 | 21-10-2026 |
| 2 | Король Марокко назначил нового гендиректора информационного агентства МAP | 0 | 0 | 19-05-2023 |
| 3 | Футболист Зиеш завершил выступления за сборную Марокко после Кубка африканских наций | 0 | 0 | 08-02-2022 |
| 4 | Rais Mwinyi atua Makumbusho ya Soka Hispania | 0 | 10 | 13-10-2026 |
| 5 | Мубарик покинул махачкалинское "Динамо" | 0 | 5 | 29-06-2026 |
| 6 | В Марокко назначили нового генерального инспектора Королевских вооруженных сил | 0 | 0 | 23-04-2023 |
| 7 | Зидан отказал нескольким клубам и выбрал новую команду | 5 | 7 | 15-07-2026 |
| 8 | Ndejembi aonyesha umahiri kucheza kikapu akizindua ligi Rukwa | 0 | 10 | 15-10-2026 |
| 9 | Reuters: Марокко присоединилось к заявке на проведение чемпионата мира 2030 года | 0 | 0 | 14-03-2023 |
| 10 | Семь футболистов клубов РПЛ сыграют на Кубке африканских наций в Марокко | 0 | 0 | 20-12-2025 |