Вход на сайт

Просмотр новости

Найдите то, что Вас интересует

Rais Samia ateua Ma DC 22 wengine 26 wahamishwa, Ma DED na DAS hawa hapa

Дата публикации: 29-09-2026 18:57:56

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi wa Serikali, akiwemo wakuu wa wilaya (ma-DC) 22 huku wengine 26 wakihamishwa katika vituo mbalimbali.

Основное содержимое страницы с новостью.

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi wa Serikali, akiwemo wakuu wa wilaya (ma-DC) 22 huku wengine 26 wakihamishwa katika vituo mbalimbali.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu usiku wa leo Jumanne, Septemba 29, 2026, uteuzi na uhamisho huo umefanyika kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka.

Pia, Rais Samia amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Wilaya (DAS) 12 huku wanne wakihamishwa vituo vya kazi. Aidha, wakurugenzi wa halmashauri (DED) 17 wameteuliwa na 33 wakihamishwa.

Miongoni mwa wakuu wa wilaya walioteuliwa ni waliowahi kuwa wabunge.

Soma taarifa yote hapa chini.

Схожие новости

#Наименование новостиТональностьИнформативностьДата публикации
1Dawasa yaweka uangalizi maeneo 20 kukabili El- Nino022.528-09-2026
2Gachagua akataa shinikizo la kujiunga na Muungano wa Ukombozi06.0829-09-2026
3Abiria waendelea kusota Magufuli, safari zahamishiwa kesho06.0929-09-2026
4Mayele aweka mikakati mipya TRA United08.5626-09-2026
5Namibia: Nored CEO Confirms Suspension07.924-09-2026
6Katambi asitisha kukata pointi, awataka madereva kurejea kazini05.729-09-2026
7Kenya: Mizani Poll - Ruto Leads Kalonzo, Sifuna in Presidential Preference Survey011.2425-09-2026
8Молдавская оппозиция инициировала отстранение Санду от должности06.629-09-2026
9Neema Kusekwa: Mgore, Manula wampa maujanja07.6626-09-2026
10В парламенте Молдавии начали процедуру отставки президента Санду07.8529-09-2026

Классификация: . Схожих патентов: 0. Схожих новостей: 10. Тональность: 0. Информативность: 15.69. Источник: www.mwananchi.co.tz.