Вход на сайт

Просмотр новости

Найдите то, что Вас интересует

Mgomo wa madereva watesa Mwanza, binti akosa usaili wa kazi Dar

Дата публикации: 29-09-2026 19:04:22

Ndoto ya kupata ajira imeanza kuyeyuka kwa binti mmoja baada ya mgomo wa madereva kumkwamisha mjini Iringa na kushindwa kuendelea na safari ya kwenda Dar es Salaam ambako alikuwa na usaili wa kazi.

Основное содержимое страницы с новостью.

Prime

Jumatano, Septemba 30, 2026

New Content Item (1)

Muktasari:
  • Mgomo wa madereva wa mabasi na malori umeanza kuathiri shughuli za wananchi katika maeneo mbalimbali, huku baadhi ya abiria wakikwama safarini na wengine kukosa fursa muhimu, ikiwamo usaili wa kazi.

Iringa/Mwanza. Ndoto ya kupata ajira imeanza kuyeyuka kwa binti mmoja baada ya mgomo wa madereva kumkwamisha mjini Iringa na kushindwa kuendelea na safari ya kwenda Dar es Salaam ambako alikuwa na usaili wa kazi.

Binti huyo, ambaye ameomba jina lake na taasisi aliyokuwa akielekea kufanya usaili zisifahamike, amesema usaili huo ulikuwa muhimu kwake kwa kuwa aliutazama kama fursa ya kubadilisha maisha yake.

Схожие новости

#Наименование новостиТональностьИнформативностьДата публикации
1Malipo ya meza Mbagala bado kizungumkuti01028-09-2026
2Mateso anayopitia mwenye sikoseli01028-09-2026
3Serikali yaukomalia mradi wa maji Mto Kiwira, wananchi washauri jambo0529-09-2026
4Wadau watafuta suluhu changamoto zinazotishia afya ya vijana05.2629-09-2026
5Abiria waendelea kusota Magufuli, safari zahamishiwa kesho06.0929-09-2026
6Katambi asitisha kukata pointi, awataka madereva kurejea kazini05.729-09-2026
7Омичка заказала капсулы для похудения, но получила уголовное дело01030-09-2026
8Askofu Mwamakula alivyomuombea Lissu mahakamani01028-09-2026
9Девочка 11-ти лет пропала из приюта в Нижегородской области014.1728-09-2026
10Девушка вышла из автомобиля на полном ходу после ссоры с парнем08.2628-09-2026

Классификация: . Схожих патентов: 0. Схожих новостей: 10. Тональность: 0. Информативность: 4.96. Источник: www.mwananchi.co.tz.